Mathayo 26:70
Matthew 26:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.”
Matthew 26:70 in English
Matthew 26:70 · Berean Standard Bible
But he denied it before them all: “I do not know what you are talking about.”
Context
68na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?” 69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” 70Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.” 71Alipotoka nje kufika kwenye lango, mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwepo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Yesu, Mnazareti.” 72Akakana tena kwa kiapo akisema, “Mimi simjui huyo!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.