Mathayo 26:72
Matthew 26:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akakana tena kwa kiapo akisema, “Mimi simjui huyo!”
Matthew 26:72 in English
Matthew 26:72 · Berean Standard Bible
And again he denied it with an oath: “I do not know the man!”
Context
70Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.” 71Alipotoka nje kufika kwenye lango, mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwepo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Yesu, Mnazareti.” 72Akakana tena kwa kiapo akisema, “Mimi simjui huyo!” 73Baada ya muda mfupi, wale waliokuwa wamesimama pale wakamwendea Petro, wakamwambia, “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana usemi wako ni kama wao.” 74Ndipo Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui mtu huyo!”
Papo hapo jogoo akawika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.