Native Bible

Matthew 26:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”

Matthew 26:32 in English

Matthew 26:32 · Berean Standard Bible

But after I have risen, I will go ahead of you into Galilee.”

Context

30Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’ 32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.” 34Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.