Native Bible

Matthew 26:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Matthew 26:33 in English

Matthew 26:33 · Berean Standard Bible

Peter said to Him, “Even if all fall away on account of You, I never will.”

Context

31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’ 32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.” 34Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” 35Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.