Mathayo 26:34
Matthew 26:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Matthew 26:34 in English
Matthew 26:34 · Berean Standard Bible
“Truly I tell you,” Jesus declared, “this very night, before the rooster crows, you will deny Me three times.”
Context
32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.” 34Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” 35Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo. 36Kisha Yesu akaenda pamoja na wanafunzi wake mpaka kwenye bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia, “Kaeni hapa, nami niende kule nikaombe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.