Native Bible

Matthew 26:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’

Matthew 26:31 in English

Matthew 26:31 · Berean Standard Bible

Then Jesus said to them, “This very night you will all fall away on account of Me. For it is written: ‘I will strike the Shepherd, and the sheep of the flock will be scattered.’*

Context

29Lakini ninawaambia, tangu sasa sitakunywa tena katika uzao huu wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika Ufalme wa Baba yangu.” 30Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’ 32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” 33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.