Mathayo 26:30
Matthew 26:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.
Matthew 26:30 in English
Matthew 26:30 · Berean Standard Bible
And when they had sung a hymn, they went out to the Mount of Olives.
Context
28Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. 29Lakini ninawaambia, tangu sasa sitakunywa tena katika uzao huu wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika Ufalme wa Baba yangu.” 30Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa:
“ ‘Nitampiga mchungaji,
nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’ 32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.