Native Bible

Matthew 22:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

Matthew 22:44 in English

Matthew 22:44 · Berean Standard Bible

‘The Lord said to my Lord, “Sit at My right hand until I put Your enemies under Your feet.”’*

Context

42“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.” 43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 44“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’ 45Kama basi Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ awezaje kuwa mwanawe?” 46Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Yesu neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.