Native Bible

Matthew 22:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”

Matthew 22:42 in English

Matthew 22:42 · Berean Standard Bible

“What do you think about the Christ? Whose son is He?” “David’s,” they answered.

Context

40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza, 42“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.” 43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 44“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.