Mathayo 22:40
Matthew 22:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.”
Matthew 22:40 in English
Matthew 22:40 · Berean Standard Bible
All the Law and the Prophets hang on these two commandments.”
Context
38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza, 42“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?”
Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.