Native Bible

Matthew 22:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

Matthew 22:38 in English

Matthew 22:38 · Berean Standard Bible

This is the first and greatest commandment.

Context

36“Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?” 37Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.