Mathayo 22:36
Matthew 22:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?”
Matthew 22:36 in English
Matthew 22:36 · Berean Standard Bible
“Teacher, which commandment is the greatest in the Law?”
Context
34Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, Mafarisayo wakakusanyika pamoja. 35Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema, 36“Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?” 37Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.