Mathayo 22:35
Matthew 22:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Matthew 22:35 in English
Matthew 22:35 · Berean Standard Bible
One of them, an expert in the law, tested Him with a question:
Context
33Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake. 34Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, Mafarisayo wakakusanyika pamoja. 35Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema, 36“Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?” 37Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.