Mathayo 22:39
Matthew 22:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’
Matthew 22:39 in English
Matthew 22:39 · Berean Standard Bible
And the second is like it: ‘Love your neighbor as yourself.’*
Context
37Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.