Mathayo 22:41
Matthew 22:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
Matthew 22:41 in English
Matthew 22:41 · Berean Standard Bible
While the Pharisees were assembled, Jesus questioned them:
Context
39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza, 42“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?”
Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.” 43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.