Mathayo 22:43
Matthew 22:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema,
Matthew 22:43 in English
Matthew 22:43 · Berean Standard Bible
Jesus said to them, “How then does David in the Spirit call Him ‘Lord’? For he says:
Context
41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza, 42“Mnaonaje kuhusu Kristo?* Yeye ni mwana wa nani?”
Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.” 43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 44“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume,
hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 45Kama basi Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ awezaje kuwa mwanawe?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.