Native Bible

Matthew 22:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Yesu neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.

Matthew 22:46 in English

Matthew 22:46 · Berean Standard Bible

No one was able to answer a word, and from that day on no one dared to question Him any further.

Context

44“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’ 45Kama basi Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ awezaje kuwa mwanawe?” 46Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Yesu neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.