Mathayo 15:9
Matthew 15:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ ”
Matthew 15:9 in English
Matthew 15:9 · Berean Standard Bible
They worship Me in vain; they teach as doctrine the precepts of men.’*”
Context
7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami. 9Huniabudu bure;
nayo mafundisho yao
ni maagizo ya wanadamu tu.’ ” 10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe: 11kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.