Mathayo 15:8
Matthew 15:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.
Matthew 15:8 in English
Matthew 15:8 · Berean Standard Bible
‘These people honor Me with their lips, but their hearts are far from Me.
Context
6basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu. 7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami. 9Huniabudu bure;
nayo mafundisho yao
ni maagizo ya wanadamu tu.’ ” 10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.