Native Bible

Matthew 15:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba:

Matthew 15:7 in English

Matthew 15:7 · Berean Standard Bible

You hypocrites! Isaiah prophesied correctly about you:

Context

5Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,’ 6basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu. 7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. 9Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.