Native Bible

Matthew 15:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu.

Matthew 15:6 in English

Matthew 15:6 · Berean Standard Bible

he need not honor his father or mother with it.* Thus you nullify the word of God for the sake of your tradition.

Context

4Kwa maana Mungu alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’ 5Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,’ 6basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu. 7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.