Native Bible

Matthew 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:

Matthew 15:10 in English

Matthew 15:10 · Berean Standard Bible

Jesus called the crowd to Him and said, “Listen and understand.

Context

8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. 9Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ ” 10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe: 11kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.” 12Kisha wanafunzi wake wakamjia na kumuuliza, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa sana waliposikia yale uliyosema?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.