Mathayo 15:11
Matthew 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.”
Matthew 15:11 in English
Matthew 15:11 · Berean Standard Bible
A man is not defiled by what enters his mouth, but by what comes out of it.”
Context
9Huniabudu bure;
nayo mafundisho yao
ni maagizo ya wanadamu tu.’ ” 10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe: 11kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.” 12Kisha wanafunzi wake wakamjia na kumuuliza, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa sana waliposikia yale uliyosema?” 13Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litangʼolewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.