Mathayo 12:22
Matthew 12:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha wakamletea mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, na alikuwa kipofu na bubu. Yesu akamponya, hata akaweza kusema na kuona.
Matthew 12:22 in English
Matthew 12:22 · Berean Standard Bible
Then a demon-possessed man who was blind and mute was brought to Jesus, and He healed the man so that he could speak and see.
Context
20Mwanzi uliopondeka hatauvunja,
na utambi unaofuka moshi hatauzima,
mpaka atakapoifanya haki ishinde. 21Katika Jina lake mataifa
wataweka tumaini lao.” 22Kisha wakamletea mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, na alikuwa kipofu na bubu. Yesu akamponya, hata akaweza kusema na kuona. 23Watu wote wakashangaa na kusema, “Je, yawezekana huyu ndiye Mwana wa Daudi?” 24Lakini Mafarisayo waliposikia jambo hili wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli,* mkuu wa pepo wachafu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.