Mathayo 12:21
Matthew 12:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika Jina lake mataifa wataweka tumaini lao.”
Matthew 12:21 in English
Matthew 12:21 · Berean Standard Bible
In His name the nations will put their hope.”*
Context
19Hatagombana wala hatapiga kelele,
wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 20Mwanzi uliopondeka hatauvunja,
na utambi unaofuka moshi hatauzima,
mpaka atakapoifanya haki ishinde. 21Katika Jina lake mataifa
wataweka tumaini lao.” 22Kisha wakamletea mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, na alikuwa kipofu na bubu. Yesu akamponya, hata akaweza kusema na kuona. 23Watu wote wakashangaa na kusema, “Je, yawezekana huyu ndiye Mwana wa Daudi?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.