Mathayo 12:19
Matthew 12:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hatagombana wala hatapiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani.
Matthew 12:19 in English
Matthew 12:19 · Berean Standard Bible
He will not quarrel or cry out; no one will hear His voice in the streets.
Context
17Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema: 18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua,
mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Nitaweka Roho wangu juu yake,
naye atatangaza haki kwa mataifa. 19Hatagombana wala hatapiga kelele,
wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 20Mwanzi uliopondeka hatauvunja,
na utambi unaofuka moshi hatauzima,
mpaka atakapoifanya haki ishinde. 21Katika Jina lake mataifa
wataweka tumaini lao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.