Native Bible

Matthew 12:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu, ninayependezwa naye. Nitaweka Roho wangu juu yake, naye atatangaza haki kwa mataifa.

Matthew 12:18 in English

Matthew 12:18 · Berean Standard Bible

“Here is My Servant, whom I have chosen, My beloved, in whom My soul delights. I will put My Spirit on Him, and He will proclaim justice to the nations.

Context

16akiwakataza wasiseme yeye ni nani. 17Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema: 18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu, ninayependezwa naye. Nitaweka Roho wangu juu yake, naye atatangaza haki kwa mataifa. 19Hatagombana wala hatapiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima, mpaka atakapoifanya haki ishinde.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.