Mathayo 12:16
Matthew 12:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akiwakataza wasiseme yeye ni nani.
Matthew 12:16 in English
Matthew 12:16 · Berean Standard Bible
warning them not to make Him known.
Context
14Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua. 15Lakini Yesu alipoyatambua mawazo yao, akaondoka mahali hapo. Watu wengi wakamfuata, naye akawaponya wagonjwa wao wote, 16akiwakataza wasiseme yeye ni nani. 17Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema: 18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua,
mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Nitaweka Roho wangu juu yake,
naye atatangaza haki kwa mataifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.