Native Bible

Matthew 10:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani kwake.’

Matthew 10:36 in English

Matthew 10:36 · Berean Standard Bible

A man’s enemies will be the members of his own household.’*

Context

34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye, binti na mamaye, mkwe na mama mkwe wake; 36nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani kwake.’ 37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. 38Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.