Mathayo 10:38
Matthew 10:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.
Matthew 10:38 in English
Matthew 10:38 · Berean Standard Bible
and anyone who does not take up his cross and follow Me is not worthy of Me.
Context
36nao adui za mtu watakuwa
ni wale watu wa nyumbani kwake.’ 37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. 38Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. 39Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata. 40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.