Native Bible

Matthew 10:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye, binti na mamaye, mkwe na mama mkwe wake;

Matthew 10:35 in English

Matthew 10:35 · Berean Standard Bible

For I have come to turn ‘a man against his father, a daughter against her mother, a daughter-in-law against her mother-in-law.

Context

33Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.” 34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye, binti na mamaye, mkwe na mama mkwe wake; 36nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani kwake.’ 37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.