Mathayo 10:33
Matthew 10:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.”
Matthew 10:33 in English
Matthew 10:33 · Berean Standard Bible
But whoever denies Me before men, I will also deny him before My Father in heaven.
Context
31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. 32“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni. 33Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.” 34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35Kwa maana nimekuja kumfitini
“ ‘mtu na babaye,
binti na mamaye,
mkwe na mama mkwe wake;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.