Mathayo 10:31
Matthew 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Matthew 10:31 in English
Matthew 10:31 · Berean Standard Bible
So do not be afraid; you are worth more than many sparrows.
Context
29Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. 30Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. 31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. 32“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni. 33Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.