Native Bible

Matthew 10:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua.

Matthew 10:29 in English

Matthew 10:29 · Berean Standard Bible

Are not two sparrows sold for a penny?* Yet not one of them will fall to the ground apart from the will of your Father.

Context

27Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinongʼonwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba. 28Msiwaogope wale wauao mwili lakini hawawezi kuua roho. Afadhali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanamu.* 29Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. 30Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. 31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.