Mathayo 10:30
Matthew 10:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa.
Matthew 10:30 in English
Matthew 10:30 · Berean Standard Bible
And even the very hairs of your head are all numbered.
Context
28Msiwaogope wale wauao mwili lakini hawawezi kuua roho. Afadhali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanamu.* 29Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua. 30Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. 31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. 32“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.