Mathayo 10:34
Matthew 10:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.
Matthew 10:34 in English
Matthew 10:34 · Berean Standard Bible
Do not assume that I have come to bring peace to the earth; I have not come to bring peace, but a sword.
Context
32“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni. 33Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.” 34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35Kwa maana nimekuja kumfitini
“ ‘mtu na babaye,
binti na mamaye,
mkwe na mama mkwe wake; 36nao adui za mtu watakuwa
ni wale watu wa nyumbani kwake.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.