Native Bible

Luke 6:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Luke 6:27 in English

Luke 6:27 · Berean Standard Bible

But to those of you who will listen, I say: Love your enemies, do good to those who hate you,

Context

25Ole wenu ninyi mlioshiba sasa, maana mtaona njaa. Ole wenu ninyi mnaocheka sasa, maana mtaomboleza na kulia. 26Ole wenu watu watakapowasifu, kwani ndivyo baba zao walivyowasifu manabii wa uongo. 27“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya. 29Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.