Native Bible

Luke 6:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ole wenu watu watakapowasifu, kwani ndivyo baba zao walivyowasifu manabii wa uongo.

Luke 6:26 in English

Luke 6:26 · Berean Standard Bible

Woe to you when all men speak well of you, for their fathers treated the false prophets in the same way.

Context

24“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu. 25Ole wenu ninyi mlioshiba sasa, maana mtaona njaa. Ole wenu ninyi mnaocheka sasa, maana mtaomboleza na kulia. 26Ole wenu watu watakapowasifu, kwani ndivyo baba zao walivyowasifu manabii wa uongo. 27“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.