Luka 6:25
Luke 6:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole wenu ninyi mlioshiba sasa, maana mtaona njaa. Ole wenu ninyi mnaocheka sasa, maana mtaomboleza na kulia.
Luke 6:25 in English
Luke 6:25 · Berean Standard Bible
Woe to you who are well fed now, for you will hunger. Woe to you who laugh now, for you will mourn and weep.
Context
23“Furahini na kurukaruka kwa shangwe, kwa sababu thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo baba zao walivyowatenda manabii. 24“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri,
kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu. 25Ole wenu ninyi mlioshiba sasa,
maana mtaona njaa.
Ole wenu ninyi mnaocheka sasa,
maana mtaomboleza na kulia. 26Ole wenu watu watakapowasifu,
kwani ndivyo baba zao walivyowasifu
manabii wa uongo. 27“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.