Luka 6:28
Luke 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.
Luke 6:28 in English
Luke 6:28 · Berean Standard Bible
bless those who curse you, pray for those who mistreat you.
Context
26Ole wenu watu watakapowasifu,
kwani ndivyo baba zao walivyowasifu
manabii wa uongo. 27“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya. 29Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia. 30Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.