Luka 6:30
Luke 6:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Luke 6:30 in English
Luke 6:30 · Berean Standard Bible
Give to everyone who asks you, and if anyone takes what is yours, do not demand it back.
Context
28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya. 29Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia. 30Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie. 31Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. 32“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.