Native Bible

Luke 6:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao.

Luke 6:32 in English

Luke 6:32 · Berean Standard Bible

If you love those who love you, what credit is that to you? Even sinners love those who love them.

Context

30Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie. 31Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. 32“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao. 33Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ hufanya vivyo hivyo. 34Tena mnapowakopesha wale tu mnaotegemea wawalipe, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwakopesha ‘wenye dhambi’ wenzao wakitarajia kulipwa mali yao yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.