Native Bible

Luke 6:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi.

Luke 6:31 in English

Luke 6:31 · Berean Standard Bible

Do to others as you would have them do to you.

Context

29Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia. 30Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie. 31Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. 32“Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ huwapenda wale wawapendao. 33Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ hufanya vivyo hivyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.