Luka 4:13
Luke 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.
Luke 4:13 in English
Luke 4:13 · Berean Standard Bible
When the devil had finished every temptation, he left Him until an opportune time.
Context
11nao watakuchukua mikononi mwao,
usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ” 12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ” 13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. 14Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. 15Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.