Luka 4:11
Luke 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
Luke 4:11 in English
Luke 4:11 · Berean Standard Bible
and they will lift You up in their hands, so that You will not strike Your foot against a stone.’*”
Context
9Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa, 10kwa maana imeandikwa:
“ ‘Atakuagizia malaika zake
ili wakulinde; 11nao watakuchukua mikononi mwao,
usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ” 12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ” 13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.