Native Bible

Luke 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa,

Luke 4:9 in English

Luke 4:9 · Berean Standard Bible

Then the devil led Him to Jerusalem and set Him on the pinnacle of the temple. “If You are the Son of God,” he said, “throw Yourself down from here.

Context

7Hivyo ikiwa utanisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.” 8Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake.’ ” 9Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa, 10kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde; 11nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.