Native Bible

Luke 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;

Luke 4:10 in English

Luke 4:10 · Berean Standard Bible

For it is written: ‘He will command His angels concerning You to guard You carefully;

Context

8Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake.’ ” 9Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa, 10kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde; 11nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ” 12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.