Luka 4:12
Luke 4:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
Luke 4:12 in English
Luke 4:12 · Berean Standard Bible
But Jesus answered, “It also says, ‘Do not put the Lord your God to the test.’*”
Context
10kwa maana imeandikwa:
“ ‘Atakuagizia malaika zake
ili wakulinde; 11nao watakuchukua mikononi mwao,
usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ” 12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ” 13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. 14Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.