Native Bible

Luke 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando.

Luke 4:14 in English

Luke 4:14 · Berean Standard Bible

Jesus returned to Galilee in the power of the Spirit, and the news about Him spread throughout the surrounding region.

Context

12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ” 13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. 14Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. 15Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. 16Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.