Native Bible

Luke 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu.

Luke 4:15 in English

Luke 4:15 · Berean Standard Bible

He taught in their synagogues and was glorified by everyone.

Context

13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao. 14Kisha Yesu akarudi mpaka Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, nazo habari zake zikaenea katika sehemu zote za nchi za kandokando. 15Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. 16Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome, 17naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.